Ukoo Wetu Toa Maoni
Inamilikiwa na Erick Software Technology Company

Epuka kupotezana ndugu, epuka kutofahamiana, na epuka kuoa ndugu yako bila kujua.

Leo kuna app hii inayokurahisishia kufahamu ukoo wako, mahusiano halisi ya kifamilia, na historia ya kizazi hadi kizazi.

  • Epuka kupotezana ndugu waliotawanyika mikoa na nchi tofauti.
  • Epuka usije ukaoa ndugu yako kwa kutokujua uhusiano wa damu.
  • Epuka kutofahamiana katika ukoo unaokua kila mwaka.

Changamoto Tunazotatua

Mfumo umejengwa mahsusi kuimarisha uhusiano wa damu na taarifa sahihi za ukoo.

Epuka kupotezana ndugu waliotawanyika mikoa na nchi tofauti.
Epuka usije ukaoa ndugu yako kwa kutokujua uhusiano wa damu.
Epuka kutofahamiana katika ukoo unaokua kila mwaka.

Jinsi Mfumo Unavyofanya Kazi

Hatua rahisi za kuunganisha wana ukoo wote kwenye mfumo mmoja.

1
Jisajili kwa email au namba ya simu, kisha uthibitishe kwa OTP.
2
Unda ukoo mpya au jiunge kwa invite link kutoka kwa kiongozi wa ukoo.
3
Panga familia kwa ngazi: babu/bibi, watoto wao, wajukuu, vitukuu na matawi yote.
4
Fungua profile ya mtu na uone uhusiano wake moja kwa moja: mjomba, shangazi, wifi, shemeji, mjukuu na wengine.

Features Muhimu za Ukoo Wetu

Mti wa Ukoo wa Ngazi Zote

Onesha koo, familia na members wote kwa mtiririko sahihi wa kizazi.

Relationship Engine

Mfumo unatafsiri uhusiano wa kweli ili watu wasichanganyikiwe na nasaba.

Chat za Ukoo

Group chat ya wanaukoo wote na direct chat ya mtu kwa mtu.

Matukio na Matangazo

Tuma announcements, ratiba za matukio, na taarifa muhimu kwa ukoo mzima.

Video, Likes na Comments

Wana ukoo wanaweza kupost text, picha na video na kushirikiana kwa comments.

Voice na Video Call

Kwa plan husika, familia inaweza kuwasiliana live ndani ya app.

Plans za Subscription

Chagua package inayoendana na ukubwa wa mahitaji ya ukoo wako.

Trial (Siku 3)

Bure
  • Access ya features zote kwa siku 3.

Basic 49,990 / mwezi

TZS 49,990
  • Posts + comments + likes + shares + video posts.
  • Text chat ndani ya app.
  • Relationship management ya ukoo.

Premium 150,000 / mwezi

TZS 150,000
  • Voice call na video call ya app.
  • Mfumo wa malipo/changizo ndani ya app.
  • Admin withdrawal tools.

Elite 350,000 / mwezi

TZS 350,000
  • Features zote za Premium.
  • SMS unlimited kwa wanaukoo wote.

Faida Kuu Utakazopata

Ukoo unakuwa na kumbukumbu moja rasmi inayopatikana haraka.
Unazuia migongano ya nasaba kwa kujua mahusiano mapema.
Vijana na wazee wa ukoo wanafahamiana kwa urahisi.
Kiongozi wa ukoo anaratibu taarifa, matukio na mawasiliano kwa mpangilio.

Tuma Feedback / Maoni

Maoni yako yanatusaidia kuboresha app ili itimize malengo ya ukoo wako kikamilifu.